WATANZANIA HATUNA UTAMADUNI WA KUUMIZA VICHWA KUJA NA AIDIA NZURI ZA BIASHARA TUMEBAKI KUKOPI NA KUPEST TU.
CHUKULIA MFANO MIJIMBALIMBALI, BIASHARA ZINAZO ENDESHWA NA WABONGO HAZIZIDI 7
1,.Stationary
2. Maduka ya rejareja
3 Saluni
4. Migahawa ya chakula
5. Maduka ya nguo.
6. Guest.
7. Vibanda vya chips
KWA KIFUPI TUNAIGANAKUPITA KIASI, MTU AKISHA ANZISHA BUSINESS YAKE, NA MWINGINE ATAKUJA KUFUNGUAHAPAHAPO YA AINA HIYOHIYO, HAPO NDO HUWA NACHOKA.
1. Maswala kama ya Market share hatuyaangalii mtu anacho angalia ni ameuza siku hiyo basi.
HILI TATIZO LIKO KWAWINGI SANA TANZANIA YETU HII, MFANO KATIKA MAKUNDI HAYA JARIBU KUWAHOJI UONE.
1. WANAWAKE- Wao nisaluni za kike tu haijarishi mitaa alipo kuna saluni kiasi gani, populationikoje, puchasing power ikoje, maswala ya market share yakoje hayo hakuna anayewaza.
2. VIJANA- Saluni zakiume, na wao hijalishi eneo hilo kuna demand kiasi gani, market share ikoje nakazalika wao wanacho angalia ni wenzao wamefungua na wao ngoja wafungue.
Tunashindwa kabisa kutengeneza masoko mmbadala na mapya .
1. MWENZAKO KAFUNGUVITU VIFUATAVYO NA WEWE ANGALIA JINSI YA KUFANYA NAE BUSINESS,
1. KAFUNGUA MINSUPERMARKET, - wewe basi anagalia jinsi hiyo min supermarket itakavyokunufaisha
2. BIASHARA YA CHIPS-wewe anza mpango wa kufiga kuku wa mayai na nyama kwa wingi
3. ENEO LAKO WANAFUGASANA KUKU- wewe anza na wazo la kufungua mtambo wa kutengeneza chakula cha kukuau duka la kuuza dawa za kuku na chakula chake na si na wewe unakimbilia kufugakuku
4. ENEO ULILO LINA GESTNYINGI SANA- wewe anza na biashara hata ya kusuppy guest soaps mitaa hiyo basi
5. Eneo lako KUNAHOTELI NYINGI SANA- wewe njoo na wazo la kuwa supply vitu vya hotelini na si nawewe unakimbia kufungua mgahawa kisa tu inalipa.
6. KUNA BAA NYINGISANA- basi wewe fungua Duka kubwa la kuuza pombe za jumla na si kukimbia nawewe kufungua yako
KWA KIFUPI SISIWATANZANIA HATUFANYI RESEARCH KABLA YA KUANZISHA BIASHARA ENEO HUSIKA, KUNAVITU VYA MZINGI KAMA VILE 1. Demand ya eneohusika
2. Pupulationdistribution ya eneo
3. Purchasing power yaeneo husika
4. Market share ya eneohusika
5. Competitiion triends ya eneo husika
6. Market chaini yaeneo
- HUWA MTU ANAKURUPUKATU ANANUNU MFANO HICE NA KUWEKA BARABARANI KISA WENZAKE WAMENUNU, MTUANAKURUPUKA ANANUNUA TOYO KISA WENZAKE NAO WANA HIZO TOYO.
- TUNAPENDA SANAMITEREMKO, HATUPENDI BIASHARA ZINAZO UMIZA KICHWA, ZINATO TUMIA AKILI NYINGISANA KUZIENDESHA,
No comments:
Post a Comment