WORK EVENTS WORKS

WORK EVENTS WORKS
CHECK WITH US ALL ABOUT

Thursday, November 6, 2014

AINA ZA NDOA

•Habari zenu wadau na wasomaji na wafwatiliaji wa blog yetu.
Nawasalimu nyote kwa jina bwana sifa apewe mwenyezi mungu aliye tuumba na kutupa pumzi,hewa pia mamlaka ya kumiliki vitu vyote chini ya jua.

• Nianze kidogo kwa kutoa ufanuzi kidogo wa maada kuu hapa AINA ZA NDOA .Imezoeleka sasa na kuonekana ni jambo la kawaida kumsikia mtu analalamika familia yangu na ndoa yangu haieleweki sijui tatizo nini nimelogwa,nasalitiwa na mambo mengi kadha wa kadha.

Tatizo siyo hilo unalodhani au wazia tatizo lipo kwenye mfumo kwenye ndoa yenyewe na walengwa.

Tafakari na kuchunguza aina ya mfumo ulionao kwanza na urekebishe hapo ndipo utaona ukweli uko wapi.

• Kwa kufwatilia na kuchuguza hili linapelekea kupata aina tatu kuu hizi zote zinatokana na uhalisia wa maisha ya jaami kubwa inayo tuzunguka. Msingi wake na sifa zote zikitegemea wahusika na walengwa wa ndoa yenyewe. Tatizo ni kukosa marifaa

NOTE.
√ • Ndoa hizi zaidi hazingili kwenye mfumo wa dini aina yoyote bali ni wahusika wa ndoa na mfumo walionao katika maisha.

AINA ZA NDOA.

(I). • Mume na Mke.

(II). • Mke na Mume.

(III). • Mwajiri na Mwajiriwa.

√  Misingi na Sifa za ndoa hizi Kwa maelezo mafupi ni kama ifwatavyo,

1.MUME NA MKE.

• Msingi mkuu wa ndoa ya aina hii umejengwa na STAHAA.Maana kubwa ni uvumilivu na mamuzi ya kufanya jambo.Wote hufanya mamuzi ya pamoja mume na mke mmoja hawezi kufanya jambo pasipo kushaurina kwa pamoja.

2. MKE NA MUME.

• Msingi mkuu wa ndoa ya aina hii umejengwa kwa HESHIMA. Maana kubwa ni heshima itakuwepo tuu pindi wanandoa hawa wakiwa pamoja. Pindi mmoja hayupo kila mtuu huamua kutokana na uhalisilia na sehemu aliyopo ili mradi tuu malengo na nia yake imetiza wajibu wa kuamu.

3. MWAJIRI NA MWAJIRIWA.

• Msingi mkuu wa ndoa ya aina hii umejengwa kwa Mmoja wa ndoa kufanya kazi kwa niaba ya.Maana kubwa hapa mmoja ni kumfanyia mwanandoa mwenzake kazi kwa niaba kwamba yeye ni mfanyakazi wa nyumbani au mama wa nyumbani au baba wa nyumbani ili mradi kufanikisha mmoja ya hazma na mfumo walionao wa ndoa waliyonayo.

USHAURI.

Ndoa ni kujitoa,kujituma,kushaurina,kuheshimiana,kuwa na munganiko wa mawazo na uhalisia wa maisha lengo kufanikisha maisha kwa pamoja kama wanandoa.

SWALI.

Je? Wanandoa wengi wapo kwenye mfumo gani katika hii.
Mifumo yote hii ipo kwenye jaami zetu hutegemea na mazingira halisia.
Tafakari na jua mfumo wa ndoa uliyonayo chukua hatua.

No comments:

Post a Comment